Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC),
kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018, kutoka kushoto ni
Godfrey Nago, Abdulhamid Nzota na Mtumishi wa Wizara ya Ujenzi, Stanford
Matovolwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikalikwenye viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayengakwenye viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza, bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia Bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Anne Kilango Malecela, Bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments :
Post a Comment