Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia
Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha
kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.
Mheshimiwa Godwin Aloyce Mollel akiapa kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia
Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa
tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.
Mheshimiwa Maulid Mtulia akiapa kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments :
Post a Comment