Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul-Diamond platinum
mara baada ya kuweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika
viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza,
KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Aprili
2,2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul-Diamond platinum
akiimba mara baada ya kuweka jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada
katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam,
Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.Aprili 2,2018.
Ndege
mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere huku ikipewa
heshma ya kumwagiwa maji(water salute) mara baada ya kutua.
Ndege
mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikitua kwa
mara ya kwanza katika ardhi ya Tanzania katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere.Aprili 2,2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege
(Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na
Songwe katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Aprili 2,2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli, viongozi mbalimbali wa dini na Serikali
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ndege Ndege mpya ya Shirika la ndege
la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata
maelezo ya toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga TCAA
Bw. Hamza Johari katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi
wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo
vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa
ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Aprili 2,
2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono na kushukuru wakati akiingia katika ndege hiyo mpya ya Bombardier
Q400 iliyowasili kutoka nchini Canada.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amewashika mikono marubani wawili waliokuja na ndege hiyo mpya.Aprili
2,2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na
viongozi wa dini na wa ATC ndani ya ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash
Q-400 ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
ikitokea Montreal, Canada.Aprili 2, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kulia, pamoja na viongozi
mbalimbali wa dini, viongozi wa Serikali wakipiga makofi wakati
wakiipokea Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier
Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere.(PICHA NA IKULU)
No comments :
Post a Comment