Msanii huyo alikamatwa na
polisi usiku wa kuamkia Februari 15, 2017, akituhumiwa kuhusika na
biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.
Masogange alikuwa miongoni mwa
watu maarufu waliotajwa kwenye orodha ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Paul Makonda, wakati akipambana na biashara haramu ya madawa ya
kulevya.

No comments :
Post a Comment