Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha
Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara yake, mjini Dodoma
leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu
Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha
Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo,
Fortunatus Musilimu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) akimsikiliza
Mjumbe wa Baraza hilo, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki
wa Mabasi nchini (TABOA), Enea Mrutu alipokuwa masuala ya usalama
barabarani katika kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa
Wizara, mjini Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya
Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa.
Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni
Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama
Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Fortunatus Musilimu, akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza
hilo, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu), wakati wa kikao cha
Baraza hilo lililokua linajadili masuala mbalimbali ya usalama
barabarani. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara yake, mjini
Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye
pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) akizungumza na
Wajumbe wa Kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara
yake, mjini Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya
Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa.
Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni
Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. Picha zote na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments :
Post a Comment