Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya namba
umeme wa majumbani na viwandani unavyofanya kazi kutoka kwa mkufunzi wa
umeme wa Chuo cha Mwenge Community College Mwalimu Mohamed Mbarawa
wakati wa ziara ya Makamu wa Rais chuoni hapo wilaya ya mjini mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja, Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi
wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge Community College
kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na wanafunzi wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge
Community College kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya ujenzi
wa miundo mbinu katika mradi wa maji utakao nufaisha wakazi wa elfu saba
mia tano (7500) katika Shehia 4 mara baada ya kuweka jiwe la msingi la
ujenzi wa tanki la maji safi Kikawajuni kwa Mselem katika jimbo la
Kikwajuni, wengine pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhandisi
Hamad Masauni na Mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi Ndugu Ayoub Mohammed Mahmoud .
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments :
Post a Comment