Thursday, April 26, 2018

JARIDA LA NCHI YETU NDANI YA UWANJA WA JAMHURI DODOMA


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisoma jarida la nchi yetu wakati wa madhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanziabar mapema leo mjini Dodoma. Rais wa Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisoma Jarida la Nchi Yetu, wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya maadhimisho ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii ) Bibi Sihaba Nkinga akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo Bi. Susan Mlawi Jarida la nchi yetu wakati wa maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo mjini Dodoma.

No comments :

Post a Comment