Sunday, March 25, 2018

TBL Group yaadhimisha Siku ya Maji Duniani 2018

Kampuni ya kutengeneza vinywaji ya TBL Group, iliyopo chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABInBev, imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali za kuboresha sekta ya maji na kuendesha kampeni za utunzaji wa vyanzo vya maji sambamba na kutumia teknolojia za kisasa zinazowesha matumizi kidogo ya maji na kutumia nishati mbadala zisizoharibu mazingira,
Hayo yamebainishwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maji Duniani ,ambapo kampuni iliitumia kuendesha semina kwa watendaji wake kutoka vitengo mbalimbali ambapo walipata fursa ya kujadiliana matumizi sahihi ya mifumo ya uzalishaji inayotumiwa na kampuni inayolenga kupunguza matumizi ya maji sambamba na utunzaji wa mazingira.
TBL Group inaliangalia suala la utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji sio kwa kiwango cha maslahi ya viwanda vyake kupata malighafi tu, bali kwa jamii nzima ambapo kampuni inafanyia biashara , kwa kuwa sera ya kujenga Dunia Maridhawa inashahabiana Malengo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs) na suala la utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji ni moja ya suala ambalo limepewa umuhimu mkubwa.
????????????????????????????????????
Meneja wa Kiwanda cha bia cha Tbl Group  Ilala jijini Dar es Salaam, Calvin Martin akitoa mada juu ya maji  kwa wafanyakazi wenzake  wakati wa Siku ya maji.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Wafanyakazi wa TBL wakifuatilia mada mbdalimbali wakati  wa semina ya kuadhimisha Siku ya Maji Duniani.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Wafanyakazi wa TBL wakifuatilia mada mbdalimbali wakati  wa semina ya kuadhimisha Siku ya Maji Duniani.
????????????????????????????????????
Wafanyakazi wa TBL wakifuatilia mada mbdalimbali wakati  wa semina ya kuadhimisha Siku ya Maji Duniani.

No comments :

Post a Comment