Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Mauricio Ramos Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Millicom International
Service LLC (wanne kutoka kushoto)ambayo inamiliki Kampuni ya simu ya
Tigo aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL kutoka nchini Ujerumani na
Denmark Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa
Denmark Einar Hebogard Jensen aliyeongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL kutoka nchini Ujerumani na
Denmark Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi mpya wa
Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu mara baada ya hafla fupi
ya uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi Meja Jenerali mstaafu
Simon Marco Mumwi(kushoto) pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu (kulia) mara baada ya hafla fupi ya
uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi mpya wa
Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu (hayupo pichani
alipokuwa akizungumza) mara baada ya hafla fupi ya uapisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada
ya Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi Meja Jenerali mstaafu Simon
Marco Mumwi kumaliza kuzungumza katika hafla fupi ya uapisho Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Balozi mpya wa Tanzania nchini
Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu akiwa katika picha na Mkuu wa Jeshi la
Polisi nchini, IGP Simon Sirro(wa kwanza kulia)Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji Dkt. Anna Makakala wa kwanza kushoto, Mkuu wa Jeshi la Magereza
Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa(wapili kutoka kulia)
pamoja na viongozi wengine wa Jeshi la polisi mara baada ya hafla ya
Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment