Friday, March 2, 2018

NAIBU WAZIRI WA ARDHI MABULA ATEMBELEA MPAKA WA TANZANIA NA KENYA ENEO LA TARAKEA NA HOLILI MKOANI KILIMANJARO


????????????????????????????????????
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akipata maelezo ya mpaka wa Tanzania na Kenya kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo Agnes Hokororo kabla ya kuenda kukagua eneo la Tarakea na Holili.
????????????????????????????????????
Ofisa Forodha Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Samwel Tindwa akitoa maelezo mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula kuhusu huduma zinazotolewa na ofisi yake katika mpaka wa Tanzania na Kenya, Tarakea mkoa wa Kilimanjaro.
????????????????????????????????????
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akioneshwa ramani ya mpaka baina ya Tanzania na Kenya eneo la Tarakea mkoa wa Kilimanjaro.
????????????????????????????????????
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akikagua mpaka kati ya Tanzania na Kenya.
????????????????????????????????????
-Naibu Waziri Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akiangalia Kigingi cha mpaka wa Tanzania na Kenya kilichoanza kuharibika wakati alipokagua mpaka wa nchi hizo.
????????????????????????????????????
Naibu Waziri Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akiwa katika picha ya pamoja na raia wa Kenya aliowakuta wakati akikagua mpaka wa Tanzania na Kenya.
????????????????????????????????????
Sehemu ya Kenya katika mpaka baina ya Tanzania na nchi hiyo katika  eneo la Holili wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro.
????????????????????????????????????
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula  akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wake katika kituo cha Huduma za  Pamoja Mipakani (OSBC) kilichopo Holili mkoa wa Kilimanjaro.(Picha zote na Wizara ya Ardhi.

No comments :

Post a Comment