Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za
Serikali (PAC),wakifuatilia mada kuhusu Mtazamo wa kikaguzi kutoka kwa
Mkaguzi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Ndugu Athuman Mbuttuka katika
semina iliyofanyika Mkoani Singida kwa ajili ya kuwajengea uwezo wajumbe
hao.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC),wakifuatilia mada kuhusu Mtazamo wa kikaguzi
kutoka kwa Mkaguzi wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Ndugu Athuman Mbuttuka
katika semina iliyofanyika Mkoani Singida kwa ajili ya kuwajengea uwezo
wajumbe hao.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Mary Chatanda
akichangia hoja katika semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati
hiyo, iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi na kufanyika Mkoa wa
Singida.
No comments :
Post a Comment