Monday, March 19, 2018

MAKAMU WA RAIS MICHEWENI PEMBA AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA HUDUMA YA MAMA NA MTOTO


6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha afya cha huduma ya Mama na Mtoto Shumba Vyamboni wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba.
14 12
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na watoto wa kike mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha afya cha huduma ya Mama na Mtoto Shumba Vyamboni wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba.
11
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha afya cha huduma ya Mama na Mtoto Shumba Vyamboni wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba.
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muasisi wa Chama Cha Mapinduzi Bi. Mrashi nyumbani kwake Muasisi huyo Sizini wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba.
4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi mabati kwa ajili ya kuezeka nyumba ya Muasisi wa Chama Cha Mapinduzi Bi. Mrashi ambayo inajengwa na wanachama wa CCM Sizini wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments :

Post a Comment