Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe.Salama Aboud Twalib kuwa Waziri wa Ardhi,Nyuma,Maji na
Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
kabla alikuwa Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe,Mahmoud Thabit Kombo kuwa Waziri wa Habari,Utalii na
Mambo ya kale katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe.Maudline Cyrus Castico kuwa Waziri wa
Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa
Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi,Nyuma,Maji
na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe. Choum Kombo Khamis kuwa Naibu Waziri wa Habari,Utalii
na Mambo ya Kale, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na
Michezo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Balozi Amina
Salum Ali kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika
leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa
Biashara,Viwanda na Masoko
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali
mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa baadhi ya Mawaziri
walioteuliwa kuongoza wizara mbali mbali za Serikali katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zabnzibar leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Balozi Ali
Abeid Karume kuwa Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika
hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla
alikuwa Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe.Dkt.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano
na Usafirishaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar kabla alikuwa Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe.Hamad Rashid Mohamed kuwa Waziri wa Afya katika hafla
iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe. Rashid Ali Juma kuwa Waziri wa
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Mhe. Rajab Ali Rajab kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B”
Unguja katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
[Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment