Watu 26 wamekufa na wengine
wamejeruhiwa baada ya Hiace kugongana na lori katika Kijiji cha Mparanga
wilayani Mkuranga, Kaimu kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Kibiti,
Mohamed Likwata amethibitisha tukio limetokea Usiku wa kuamkia Leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu
wa mkoa wa Pwani Injinia Evarist Ndikilo na famili za marehemu
walipoteza maisha katika ajali hiyo na waliopata majeraha.
Tunaendelea kufuatilia zaidiii
No comments :
Post a Comment