WAKAZI ELFU 16 KONDOA VIJIJINI WAONDOKANA NA KERO YA MAJI
Alisema kukamilika kwa
miradi hiyo ya maji kutasadia kuwawezesha akina mama na wananchi wa
Kondoa kwa ujumla kufanya shughuli nyingine za maendeleo badala ya
kutumia muda mwingi kutafuta maji ambayo hata hivyo hayakuwa safi wala
salama.Mmoja
wa akina mama wa kijiji cha Mauno, Kata ya Bumbuta, Jimbo la Kondoa
Vijijini akiongea na vyombo vya habari kuhusu furaha yao baada ya kisima
cha maji kuzinduliwa hatua iliyowaondolea kero ya kutembea mwendo mrefu
kutafuta maji
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, na Mbunge wa Jimbo la KOndoa Vijijini, Dkt.
Ashatu Kijaji (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na
wafadhili wa mradi wa kisima cha maji pamoja na baadhi ya viongozi wa
serikali ya kijiji na viongozi wa dini katika kijiji cha Mauno, wilayani
Kondoa.
Wanakijiji
wa Kijiji cha Mauno Wilayani Kondoa mkoani Dodoma wakichota maji baada
ya kuzinduliwa rasmi kwa kisima cha maji kilichojengwa na wafadhili
kutoka nchini Uturuki kupitia Ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini.

You might also like:
No comments :
Post a Comment