Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed kulia akizungumza na
Ujumbe wa Mwezi Mwekundu wa Emarates kuhusiana na utiliaji saini
Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed aliesimama kulia akiwa
pamoja na Msaidizi Balozi wa Emarates Muhammed Ibrahim Al-Bahri
wakishuhudia utiaji saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa
mafuriko Zanzibar.
Mkurugenzi wa Kamisheni ya Maafa
zanzibar Shaaban Seif Mohammed akibadilishana hati ya saini na
Mkurugenzi wa Maafa wa Emarates Said Mohammed Al-humaini kuhusiana na
Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed akiwa katika picha
ya pamoja na Ujumbe wa Mwezi Mwekundu wa Emarates baada ya
kutiliana saini Ujenzi wa Nyumba za msaada kwa waathirika wa mafuriko
Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
…………………
Na Miza Kona-Maelezo Zanzibar
SerikaliyaMapinduzi Zanzibar
imetilianasainimakubalianonaSerikaliyaNchizaFalmezaKiarabu (UAE),
kuhusiananaujenziwanyumbakwaajiliyawananchiambaomakaaziyaoyaliharibikakutokananamvuazamasika.
HaflayakuiajisainihiyoimefanyikakatikaOfisiyaMakamuwaPilikatiyaMamlakayaMweziMwekunduyaUAEitakayoshughulikiaujenzihuonaKamisheniyaMaafaya
Zanzibar.
WaziriwaNchi,OfisiwaMakamuwaPiliwaRais
Mohammed Aboud Mohammed,
amesemamsaadawaujenzihuonimatundayaziarailiyofanywanaRaisDk. Ali Mohamed
SheinkatikaFalmezaKiarabuwiki kadhaazilizopita.
Katikaziarahiyo, Mfalmewa UAE aliahidikuisaidia Zanzibar katikasektambalimbalizamaendeleonahudumazakijamii.
“TunaishukuruserikaliyaUAE kwamsaadahuumkubwaambaoutazidikuimarishauhusianonauduguuliopobainayanchizetu,”alisemaAboud.
NaeMkurugunziwakamisheniyakukabiliananaMaafaShaabanSeif
Mohammed,amesemamsaadahuoutasaidiakuondoausumbufuwanaopatawananchikatikakipindi
cha mvuahasayanapotokeamafuriko.
“WananchiwanaoishimaeneoyaZiwaMaboga,
Mwanakwerekwenamengineyanayotuwamamajindiowatakaohamishiwakwenyenyumbahizoiliwakaekatikamakaazisalama,”
alisema.
“Aidhanyumbazilizojengwakatikamaeneoyenyekupitaau kukaamajitutazivunjailikukomeshamaafanausumbufu,”alielezaMkurugenzihuyo.
Mkurugenzihuyoamewatakawananchikuchukuatahadharizamapemakwakuondokamaeneoyanayokaamajiilikuepukananahasaranamatatizowakatiwakipindi
cha mvua.
NaemwakilishikutokaubaloziwaUAE
Mohammed Ibrahim Al-Bahr, amesemaserikaliyanchiyakeitaendeleakuisaidia
Zanzibar
kwakuimarishahudumazakijamiiikiwemohospitalinauchimbajiwavisimakwalengola
kuwasaidiawananchi wakepamojanakuletamaendeleo.
AmeishukuruSerikaliya Zanzibar
kwakuwapatiaardhiitakayotumikakujenganyumbazamakaaziyakudumukwaajiliyawananchiwaliokumbwanamaafailiwaishikwafurahanautulivu.
Mradihuoutahusishanyumba 55 ambapo
30 zitajengwaFukuchaniMkoawaKaskaziniUnguja, nanyengine 25
zitajengwaTumbeMkoawaKaskaziniPemba.
No comments :
Post a Comment