Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,
Biashara na Uwezeshaji, Prof. Elisante Ole Gabriel, (kulia) akiwa katika
picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria kwenye Mkutano wa kuboresha
mazingira ya Biashara kwenye Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,
Biashara na Uwezeshaji, Prof. Elisante Ole Gabriel, (kulia) akiagana na
Makamu wa Rais wa Uganda, Mhe. Edward Sekandi (kushoto) kwenye Mkutano
wa kuboresha mazingira ya Biashara kwenye Jumuiya ya Afrika ya
Mashariki. Mhe. Sekandi ndiye alikuwa Mgeni Rasmi na ndiye aliyefungua
Mkutano huo unaofanyika kwenye Hoteli ya Munyonyo, Nchini Uganda kuanzia
tarehe 28 Februari hadi 01 Machi, 2018.
No comments :
Post a Comment