Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Vifaa vya
Walemavu vilivyotolewa na Serikali ya Kuwait ,pichani ni Balozi wa
Kuwait nchini Jasem Al Najem (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia baadhi ya vifaa
vya walemavu vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al
Najem, wengine pichani ni Msaidizi wa Balozi wa Kuwait Bi. Zainab Ally
(kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira
na Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijaribu kusukuma kiti
maalum cha magurudumu kwa ajili ya walemavu mara baada ya kukabidhiwa na
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al Najem (kulia), wengine pichani ni
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye
Ulemavu, Stella Ikupa na Msaidizi wa Balozi wa Kuwait nchini Bi.
Zainab Ally.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments :
Post a Comment