Katibu
Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt.
Maria Sasabo (kushoto), akifurahia jambo pamoja na Kaimu Postamasta Mkuu
wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang’ombe (wa pili
kushoto), Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za shirika, Macrice Mbodo (wa
tatu) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Elia Madulesi, wakati
alipowasili Makumbusho ya Taifa kwa ajili ya kuufunga mkutano wa Baraza
Kuu la wafanyakazi wa TPC, jijini Dar es Salaam jana.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa TPC, Hassan Mwang’ombe, akizungumza kabla ya
kumkaribisha Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo (katikati), kuzungumza katika kuufunga
mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika, jijini Dar es Salaam
jana. Kushoto ni Mkurugenzi Utumishi na Utawala kutoka wizarani,
Kitolina Kippa.
Baadhi ya
wajumbe wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Posta, wakimsikiliza
Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Dkt. Maria Sasabo, wakati akiufunga mkutano huo.
Katibu
Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt.
Maria Sasabo akizungumza wakati akiufunga mkutano wa Baraza Kuu la
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), ukumbi wa Makumbusho ya
Taifa jijini Dar es Salaam jana. Wengine, kulia ni Kaimu Postamasta Mkuu
wa TPC, Hassan Mwang’ombe, kushoto ni Afisa Sheria Eunice Masigati na
wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Kitolina Kippa,
wote kutoka wizarani.
Katibu
Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt.
Maria Sasabo akizungumza katika ufungaji huo. Kulia ni Kaimu Postamasta
Mkuu wa TPC, Hassan Mwang’ombe.
Baadhi ya
wajumbe wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa Shirika la Posta, wakifuatilia
ufungwaji wa mkutano wao jijini Dar es Salaam jana.
Katibu
Mkuu wa TEWUTA Taifa, Junus Ndaro, akitoa salamu za shukurani kwa Katibu
Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt.
Maria Sasabo, mara baada ya hotuba ya kuufunga mkutano huo.
Katibu Mkuu wa TEWUTA Taifa, Junus Ndaro, akitoa salamu za shukurani.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment