MENEJA
Mahusiano na Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya BAM International
Noreen Mazalla (wa tatu kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada kwa watoto,
Loveness Julius (kulia) na Rechol Lazaro wanaolelewa kwenye makazi ya
‘New Hope for Girls Organization’ Kimara nje kidogo ya jiji la Dar es
Salaam jana. Kampuni ya Ujenzi ya Bam International imetoa pia msaada wa
vyakula na mahitaji mengine muhimu kwa binadamu kwa watoto takribani 38
wa kike mayatima wanaolelewa na familia hiyo. Anayeshuhudia (wa pili
kushoto) ni Meneja Kambi na Majengo ya Kampuni hiyo, Wim Mulderij.
|
No comments :
Post a Comment