Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya
Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen. Mbazi Msuya akifungua
kikao cha Wataalam wa Maandalizi wa Kikao cha Baraza la Usimamizi wa
Maafa Tanzania kilichofanyika Januari 25, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano
Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Mratibu wa Maafa Idara ya Uratibu
wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Charles Msangi akiwasilisha mada wakati
wa kikao cha Wataalam wa Maandalizi wa Kikao cha Baraza la Usimamizi
wa Maafa Tanzania kilichofanyika Januari 25, 2018 katika Ukumbi wa
Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na
Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru
Taratibu akichangia hoja wakati wa Kikao cha Wataalamu wa masuala ya
Maafa kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma
Afisa Kilimo Wizara ya Kilimo
(Idara ya Usalama wa Chakula) Bw.Robert Dimoso akiuliza swali wakati wa
Kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Ukumbi wa
Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Mhandisi Mwandamizi kutoka Wizara
ya Maji na Umwagiliaji Bi. Kalunde Malale akichangia hoja wakati wa
Kikao cha Wataalamu wa masuala ya Maafa kilichofanyika Ukumbi wa
Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha
Wataalamu wa masuala ya Maafa wakifuatilia uwasilishwaji wa mada kutoka
kwa Mratibu wa Maafa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu
Bw.Charles Msangi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Wataalamu wa
masuala ya Maafa kilichofanyika Januari 25, 2018 Dodoma.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya
Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen. Mbazi Msuya (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kikao cha Wataalamu wa masuala
ya Maafa kilichofanyika Januari 25, 2018 Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU – DODOMA
No comments :
Post a Comment