RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake
Mtukufu Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi Supreme Council Member and
Ruler of Sharjah, wakielekea katika chumba cha mkutano baada ya kuwasili
katika Makazi yake kwa mazungumzo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Mfalme
Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, alipofika katika makazi yake
akiwa katika ziara ya kutembelea Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
Kushoto Viongozi wa Juu wa Serikali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Mtukufu Shaikh Sultan Bin
Mohammed, Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler of Sharjah,
wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika jengo la
Makaazi ya Mfalme Sharjah.
MTUKUFU Mfalme Shaikh Sultan Bin
Mohammed Al Qasimi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika
katika makaazi yake Mjini Sharjah,wakati wa ziara yake katika Nchi za
Umoja wa Nchi za Mafme za Kiarabu UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Shaikh
Sultani Bin Mohammed wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya
kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makaazi yake Nchini
Sharjah.
Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment