RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika
Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha
Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi
samaki na kusafirishwa nje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo K.V.Thomas jinsi ya kuhifadhi samaki na
ufanyaji wa peki kwa ajili ya kusafirisha.
WAFANYAKAZI wa Kiwanda cha Samaki
cha Sharjah East Fishing Processing wakiwa katika zoezi la
kutayarisha kamba kwa ajili ya kupekewa na kusafirishwa nje
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya
utayarishaji wa Kambo hadi kupekiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya
Nchi na katika Soko la ndani akiwa katika ziara yake katika Nchi za
Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE
No comments :
Post a Comment