Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
amehudhuria katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika
AU, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli. Januari 29, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete
(kulia) na Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa (katikati) nje ya ukumbi
wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia,
kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu
wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 29, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifurahi jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete,
nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo
Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa
Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 29, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, nje ya ukumbi
wa Nelson Mandela mjini Addis Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia,
kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu
wa Nchi za Umoja wa Afrika AU. Januari 29, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mjumbe Maalum na Mwenyekiti wa Umoja wa Africa Nchini
Sudan, Prof. Joram Biswaro, nje ya ukumbi wa Nelson Mandela mjini Addis
Ababa, Waziri Mkuu yupo Nchini Ethiopia, kumwakilisha Rais John Pombe
Magufuli kwenye Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika
AU. Januari 29, 2018.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments :
Post a Comment