Mwenyekiti wa Makampuni ya
Lawrance Sikutwa & Associates (LSA) Bwana Lawrance Sikutwa
akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni Bima ya Mgen Tanzania Insurance
Limited katika hafla ya kufunga mwaka iliyowashirikisha wateja na baadhi
ya mawakala wa kampuni hiyo hapa nchini ili kufurahi pamoja, Hafla hiyo
imefanyika jana katika makao makuu ya kampuni hiyo Masaki jijini Dar es
salaam .
Mwenyekiti wa Makampuni ya
Lawrance Sikutwa & Associates (LSA) Bwana Lawrance Sikutwa
akifurahia jambo mara baada ya kumkabidhi zawadi Hope Kaiza liyefanya
kazi kwenye kampuni ya Mgen Tanzania kwa miaka 10 kwa mafanikio makubwa
kushoto ni Mkurugenzi wa Mgen Tanzania Insurance Limited Bw. David
Tuhoye .
Mwenyekiti wa Makampuni ya
Lawrance Sikutwa & Associates (LSA) Bwana Lawrance Sikutwa
akifurahia jambo mara baada ya kuwakabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji
wa Lumumba Insurance Brokers Limited Bw. Jamal Lardhi kushoto na Tiraib
Maghembe Mkuu wa Idara ya Fedha Lumumba Insurance Brokers Limited
katikati anayewapongeza ni Mkurugenzi wa Mgen Tanzania Insurance Limited
Bw. David Tuhoye
Mwenyekiti wa Makampuni ya
Lawrance Sikutwa & Associates (LSA) Bwana Lawrance Sikutwa
akimkabidhi zawadi Bw. Sudi Simba Afisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Group
Ltd kwa ushirikiano wa kampuni hiyo kwa Mgen Tanzania Insurance katikati
ni Mkurugenzi wa Mgen Tanzania Insurance Limited Bw. David Tuhoye
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Bima ya Mgen Tanzania Insurance Limited Bw. Charles Sumbwe akizungumza
na wafanyakazi pamoja na wageni waalikwa katika hafla hiyo huku
Mwenyekiti wa Makampuni ya Lawrance Sikutwa & Associates (LSA) Bwana
Lawrance Sikutwa akisikiliza kushoto ni Mkurugenzi wa Mgen Tanzania
Insurance Limited Bw. David Tuhoye
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Bima ya Mgen Tanzania Insurance Limited Bw. Charles Sumbwe akizungumza
na wafanyakazi pamoja na wageni waalikwa katika hafla hiyo huku
Mwenyekiti wa Makampuni ya Lawrance Sikutwa & Associates (LSA) Bwana
Lawrance Sikutwa akipiga makofi.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Bima ya Mgen Tanzania Insurance Limited Bw. Charles Sumbwe akizungumza
huku akiwa na baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali katika kampuni hiyo.
Bw. Ernest Kirumbi Mkuu wa Huduma
Kampuni ya Mgen Tanzania Insurance Limited akikaribishwa wageni
waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo iliyofanyika jana
jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo.
Mkuu wa Masoko MGen Tanzania Bw. Lugano Mkisi akiwa na kamati ya maandalizi ya hafla hiyo iliyoundwa baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo
No comments :
Post a Comment