IGP Simon Sirro akisalimiana na
Kaimu Mkuu wa Mkoa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mh Shaibu Ndemanga
baada ya kuwasili mkoani Lindi katika ziara ya siku moja ya kuongea na
Askari.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro wa tatu kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na kamati
ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Lindi, kulia kwa IGP Sirro ni Kaimu
Mkuu wa Mkoa Mh Shaibu Ndamanga na kushoto kwake ni Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Lindi Renata Mzinga.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro (katikati) akiwa na Askari wa Mkoa wa Lindi baada ya
kumaliza kukagua mazoezi ya ukakamavu na utayari yaliokuwa yameandaliwa
na kikosi cha kupambana na uhalifu mkoani humo.
Picha na Jeshi la Polisi.
No comments :
Post a Comment