Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt.
Jakaya Kikwete, na mkewe mama Salma, na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.
Subira Mgalu, (kulia kwa JK), wakiungana na wanakijiji wa Msoga, mkoani
Pwani kuukaribisha mwaka mpya wa 2018 usiku wa kuamkia leo Januari 1,
2018 ambapo, ngoma za asili, muziki wa singeli na milipuko ya fashifashi
ilihanikiza eneo lote la kijiji hicho.
JK akisalimiana na mwanakijiji mwenzake na familia yake
JK na mama Salma wakisalimiana na wanakijiji wa Msoga
Fashi fashi zikipamba anga la Msoga |
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia fashfashi angani wakati wa sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2018, iliyofanyika usiku huu kijijini kwake Msoga, Mkoani Pwani. |
Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete, (kulia), naye alikuwepo, hapa anasalimiana na wapiga kura wake.
Burudani ya asili
Burudani ya asili
Burudani ya asili
Msaga Sumu naye aloikuwepo kuupamba usiku huo.
Dkt. Kikwete, akisalimiana na wazee
Hivi ndivyo ilivyokuwa Msoga
Mamam Salma akifurahia jambo na wana familia
Mmoja wa watoto wa JK, (kushoto), akisakata Singeli
Baadhi ya watoto wa JK, wakiungana na marafiki zao
Ngoma ya asili
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (aliyemshika mtoto) alikuwa ni mmoja wa wakazi wa mji wa Msoga waliojumuika nyumbani kwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mri
No comments :
Post a Comment