Rais wa Chama cha Wafamasia
Tanzania (PST) Issa Hango (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari
(hawapo pichani) kuhusu kuunga mkono tamko la Rais John Pombe Magufuli
juu ya uanzishwaji wa viwanda vya dawa nchini, kushoto ni Mwenyekiti wa
Kamati ya Katiba na Maadili wa chama hicho Twalib Msango na kulia ni
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Aggrey Dudu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na
Maadili wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST) hicho Twalib Msango
(kushoto) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani)
kuhusu kuunga mkono tamko la Rais John Pombe Magufuli juu ya uanzishwaji
wa viwanda vya dawa nchini, katikati ni Rais wa chama hicho Issa Hango
na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Aggrey Dudu.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha
Wafamasia Tanzania (PST)Aggrey Dudu (kulia) akisisitiza jambo kwa
Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kuunga mkono tamko la Rais
John Pombe Magufuli juu ya uanzishwaji wa viwanda vya dawa nchini,
katikati ni Rais wa chama hicho Issa Hango na kushoto ni Mwenyekiti wa
Kamati ya Katiba na Maadili wa chama hicho Twalib Msango.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
No comments :
Post a Comment