Injinia Mratibu wa maswala ya
Mazingira Baharini kutoka ZMA Halfani Hamad Hassan kulia akitoa maelezo
kuhusiana na zoezi la vitendo la Udhibiti wa Usambaaji wa mafuta
yaliomwagika Baharini katika Mkutano wa kufunga mafunzo hayo uliofanyika
Hoteli ya Marumaru Forodhani mjini Unguja.
Mkuu wa Kituo cha Huduma za
Dharura Norwey Helge Munkas Andersen kushoto akionesha namna ya zoezi
zima la mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa mafuta yaliomwagika Baharini
katika Mkutano wa kufunga mafunzo hayo uliofanyika Hoteli ya Marumaru
Forodhani mjini Unguja.
Mkuu wa Kituo cha Huduma za
Dharura Norwey Helge Munkas Andersen akijibu baadhi ya maswala
yalioulizwa katika Mkutano wa Ufungaji mafunzo ya Udhibiti Usambaaji
wa mafuta yaliomwagika Baharini uliofanyika Hoteli ya Marumaru Forodhi
mjini Unguja.
Naibu Katibu Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Shomari O,Shomari kulia akitoa hotuba ya
ufunguaji wa mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa mafuta yaliomwagika
Baharini yaliochukua muda wa siku Tatu hafla iliofanyika Hoteli ya
Marumaru Forodhani mjini Unguja.
Naibu Katibu Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Shomari O,Shomari kulia akimkabidhi cheti
cha Ushiriki wa mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa mafuta yaliomwagika
Baharini Injinia Mratibu wa maswala ya Mazingira Baharini kutoka ZMA
Halfani Hamad Hassan katika ufungaji wa mafunzo hayo katika Hoteli ya
Marumaru Forodhani mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIAMI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments :
Post a Comment