Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimia
wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya
ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani humo
kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi Novemba 4, 2017. Uwanja huo
ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3, unajengwa na
makandarasi wazalendo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiwa na Waziri wa Nishati Dkt Medard
Kalemani ambaye ni Mbunge wa Chato wakifunua kitambaa kuashiria
uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa
wa Geita unaojengwa wilayani humo kwenye sherehe zilizofanyika leo
Jumamosi Novemba 4, 2017. Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu
wa kilomita 3, unajengwa na makandarasi wazalendo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (akifuatiwa na Mwenyekiti wa Kamati
ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigalla King, Waziri wa Nishati
Dkt Medard Kalemani ambaye ni Mbunge wa Chato, Mkuu wa Mkoa wa Geita
Mhandisi Robert Gabriel Lughumbi) wakipanda mti wakati wa sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa
mkoa wa Geita unaojengwa wilayani humo kwenye sherehe zilizofanyika leo
Jumamosi Novemba 4, 2017. Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu
wa kilomita 3, unajengwa na makandarasi wazalendo.
Wabunge wa Mkoa wa Geita
wakipanda mti wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili
ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani humo
kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi Novemba 4, 2017. Uwanja huo
ambao utakuwa na njia yenye urefu wa kilomita 3, unajengwa na
makandarasi wazalendo.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiwa na Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani ambaye ni Mbunge wa Chato pamoja na
viongozi waandamizi wa Wizara na mkoa wakikata utepe kuashiria uwekaji
wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa mkoa wa
Geita unaojengwa wilayani humo kwenye sherehe zilizofanyika leo Jumamosi
Novemba 4, 2017. Uwanja huo ambao utakuwa na njia yenye urefu wa
kilomita 3, unajengwa na makandarasi wazalendo.
Picha na Mpiga Picha Wetu
No comments :
Post a Comment