Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo afungua kikao cha
kujadili changamoto za Muungano zinazohusu sekta ya fedha na biashara
katika ukumbi wa ofisi ya Makamu wa Rais ,Luthuli jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba
akielezea masuala mbali mbali ambayo yamejadiliwa na Mawaziri wa
Tanzania Bara pamoja Visiwani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akiongoza kikao
cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, kushoto ni Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili
wa Rais Zanzibar Mhe. Mohamed aboud Mohamed na kulia ni Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe.
January Makamba.
Baadhi ya Mawaziri kutoka Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia kwa makini kikao hicho ambacho
changamoto mbali mbali zinazohusu Muungano zinajadiliwa.
Baadhi ya Mawaziri kutoka Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia kwa makini kikao hicho
ambacho changamoto mabli mbali zinazohusu Muungano zinajadiliwa.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
No comments :
Post a Comment