Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya
Udhibiti wa Usambaaji mafuta wakati yanapomwagika Baharini wakisikiliza
maelezo kutoka kwa kiongozi kutoka ZMA kabla ya kuanza kwa zoezi la
vitendo la kudhibiti mafuta katika bandari ya Malindi mjini
Unguja.Mafunzo hayo yanaendeshwa na Kampuni kutoka Norwey
inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal
Adminastration (NCM).
Washiriki wa Mafunzo ya Udhibiti
wa Usambaaji wa Mfuta wakati yanapomwagika baharini wakiunganisha
maturubali maalum ya kudhibiti mafuta katika Bahari kwenye mazoezi ya
vitendo yaliofanyika katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja .Mafunzo
yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti
wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Washiriki wa Mafunzo ya Udhibiti
wa Usambaaji wa Mfuta wakati yanapomwagika baharini wakikunjuwa
maturubali maalumu kwa ajili ya kudhibiti mafuta yaliomwagika baharini
katika mazoezi ya vitendo yaliofanyika katika Bandari ya Malindi Mjini
Unguja .Mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey
inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal
Adminastration (NCM).
Maturubali maalum ya kudhibiti
usambaaji wa mafuta yaliomwagika baharini yakiwatayari yamesha tandazwa
kwa ajili ya kudhibiti mafuta katika mazoezi ya vitendo yaliofanyika
katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja .Mafunzo yanayoendeshwa na
Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira
Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk
Hassan akifanya mahojiano na Msaidizi mtaalamu Mkuu kutoka Taasisi ya
Norwagian Costal Adminastration (NCM).Odd Gonnar Jorgensen kuhusiana na
zoezi zima la uendeshaji wa mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji wa Mfuta
baharini katika mafunzo ya vitendo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka
Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian
Costal Adminastration (NCM).
Kifaa maalum cha kuchuja mafuta
Baharini kikiingizwa baada ya mafuta yaliomwagika kudhibitiwa katika
mafunzo ya vitendo yakudhibiti Usambaaji wa mafuta yaliomwagika
baharini yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na
Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
Injinia Mratibu wa Maswala ya
mazingira Baharini kutoka ZMC Halfani Hamad Hassan kulia akizungumza na
Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mafunzo ya Vitendo ya kudhibiti
Usambaaji wa Mafuta baharini mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka
Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian
Costal Adminastration (NCM).
Msaidizi mtaalamu Mkuu kutoka
Taasisi ya Norwagian Costal Adminastration (NCM).Odd Gonnar Jorgensen
wapili kulia akisisitiza jambo katika zoezi la utandazaji wa
maturubali maalum ya kudhibiti mafuta yaliomwagika baharini uendeshaji
mafunzo yaliofanyika katika bandari ya Malindi mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa ITV
Farouk Hassan akifanya mahojiano na mmoja kati ya Washiriki wa mafunzo
ya Udhibiti Usambaaji wa mafuta yaliomwagika baharini Abdillahi Chilinga
kutoka kampuni ya GAPCO Zanzibar kuhusiana na namna alivyoyapokea
mafunzo hayo yaliofanyika katika bandari ya Malindi mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments :
Post a Comment