Katibu
Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bi. Maimuna Tarishi akisalimiana na Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
wakati wa kumpokea alipowasili katika ofisi yake Mjini Dodoma Novemba
9, 2017.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Ofisi hiyo wakati alipowasili
katika ofisi yake mpya Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Ofisi hiyo wakati alipowasili
katika ofisi yake Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa
Nchansi (kushoto) akiongozana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera
na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola katika ofisi yake mpya mara baada
ya kuwasili Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi yake mpya
Novemba 9, 2017 Dodoma.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
akiteta jambo na Katibu Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bi. Maimuna Tarishi
mara baada ya kuwasili katika ofisi yake Mjini Dodoma.
SOMA ZAIDI »
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment