Afisa Uhamiaji Wilaya ya Kusini Mkaguzi Msaidizi wa
Uhamiaji, Kheri Shabani akitoa mkono wa salamu kwa Kamishna wa Uhamiaji
Zanzibar, Johari Masoud Sururu, wakati alipowasili kwenye Jengo la
Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja, alipofanya ziara ya kikazi
Mkoani humo, tarehe 21 – 22 Novemba, 2017.
Kamishna
wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akitia saini kitabu cha
wageni, mara tu alipowasili Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja,
ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kikazi Mkoani humo, Leo tarehe 22
Novemba, 2017. Kushoto ni Afisa Uhamiaji Mkoa, Naibu Kamishna wa
Uhamiaji, Mkemimi Mohamed Mhina.
Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Khamis Ali Juma akitoa
maoni juu ya changamoto wanazokabiliana nazo katika eneo la uendeshaji wa
mashtaka ya Kiuhamiaji, wakati wa kikao cha pamoja cha Wafanyakazi wa Mkoa wa Kusini
Unguja na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, wakati alipofanya
ziara ya kikazi Mkoani humo, tarehe 21 – 22 Novemba, 2017.

wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, Akijibu hoja mbali mbali
zilizowasilishwa na watumishi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja
(hawapo pichani), wakati alipofanya ziara ya kikazi Mkoani humo, tarehe
21 – 22 Novemba, 2017. Kushoto ni Afisa Utumishi Mkuu, Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Abdullah Mbarouk Ramsa.
Kamishna
wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu (kati kati), akifatilia kwa
makini majadiliano katika kikao cha pamoja na watumishi wa Ofisi ya
Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani), wakati alipofanya ziara
ya kikazi Mkoani humo, tarehe 21 – 22 Novemba, 2017. Kulia
ni Afisa Uhamiaji Mkoa, Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Mkemimi Mohamed
Mhina na Kushoto ni Afisa Utumishi Mkuu, Naibu Kamishna wa Uhamiaji,
Abdullah Mbarouk Ramsa.
Kamishna
wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akielezea jinsi Idara ya
Uhamiaji inavyopiga hatua katika kutatua changamoto ya Makaazi ya Askari
wake katika Wilaya zote Unguja na Pemba. Aliayasema hayo wakati
akikagua nyumba za Watumishi wa Uhamiaji iliyopo Makunduchi, Wilaya ya
Kusini, wakati wa ziara ya kikazi Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika
tarehe 21 – 22 Novemba, 2017
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu, akielezea
jinsi Idara ya Uhamiaji inavyopiga hatua katika kutatua changamoto ya Makaazi
ya Askari wake katika Wilaya zote Unguja na Pemba. Aliayasema hayo wakati
akikagua nyumba za Watumishi wa Uhamiaji iliyopo Makunduchi, Wilaya ya Kusini,
wakati wa ziara ya kikazi Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika tarehe 21 – 22
Novemba, 2017.

Maafisa waandamizi wa Idara ya Uhamiaji
Zanzibar, wakiambatana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu (katikati),
wakati alipofanya ziara ya kikazi Wilaya ya Kati na Kusini, Mkoa wa Kusini
Unguja tarehe 21 – 22 Novemba, 2017, wakipokea taarifa kuhusu mkakati wa
kuboresha Ofisi na Makaazi ya Askari wa Uhamiaji, Mkoani humo. Ziara hiyo
ililenga kukagua Miradi ya Idara pamoja na Viwanja vilivyopo Mkoani wa Kusini
Unguja. Ikiwa ni hatua muhimu katika kutanua wigo wa utoaji huduma mbali mbali
za Uhamiaji kwa Wilaya zote za Unguja na Pemba. Hatua hiyo ni utekelezaji wa ahadi
za Serikali kuwafikishia wananchi wake huduma katika maeneo wanayoishi

Imetolewa na: KITENGO CHA UHUSIANO, AFISI KUU YA UHAMIAJI ZANZIBAR
No comments :
Post a Comment