
RAIS wa Zimbabwe Robert Mugabe
amejiuzulu alasiri Novemba 21, 2017.
Kwa mujibu w avyombo vya habari vya
kimataifa, Comrade RG Mugabe, amemuandikia barua ya kujiuzulu spika wa bunge la
nchi hiyo, Bw. Jacob Mudenda.
Mugabe (katikati),m akiwa na aliyekuwa makamu wake, Emmerson Mnangagwa, (Kushoto), na mkewe Grace Mugabe.
Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo, Jenerali Constantino Chiwenga
Mugabe akimbusu mkewe Grace
Hayati Baba wa Taifa, akifurahia jambo na macomrade wenzake, akiwemo RG Mugabe, (Kushoto)
Mugabe akiwa na hayati Nelson Mandela.
Mugabe akiwa na Rais wa sasa wa Afrika Kusini, Jacob Zuma.
![]() |
| Mugabe akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete, alipohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dkt. Kikwete uwanja wa Uhuru Novemba 6, 2010. |
Comrade
RG Mugabe, akiwa kwenye mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Zimbabwe na
hii ndiyo ilikuwa hafla yake ya mwisho akishiriki kama Rais wa nchi
hiyo.








No comments :
Post a Comment