Mkurugenzi Mtendaji wa Business
Connexion (BCX) Tanzania , Seronga Wange akizungumza kwenye mkutano na
waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa huduma
mpya ya malipo ya nauli za daladala kielektroniki ijulikanayo kama
‘Uhuru Pay’ iliyozinduliwa na Kampuni hiyo leo jijini Dar es salaam.
Katikati ni Meneja Mauzo na Masoko wa BCX, Ebenezer Massawe na kulia ni
Afisa wa Kampuni hiyo, Justin Lawena.
Mkurugenzi Mtendaji wa Business
Connexion (BCX) Tanzania, Seronga Wange (kushoto) akizungumza kwenye
mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi
wa huduma mpya ya malipo ya nauli za daladala kielektroniki ijulikanayo
kama ‘Uhuru Pay’ iliyozinduliwa na Kampuni hiyo leo jijini Dar es
salaam. Katikati ni Meneja Usalama Barabarani na Mazingira wa SUMATRA,
Geoffrey Silanda na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Christiania inayomiliki daladala zinazofanya safari zake hapa jijini Dar
es salaam, Emmanuel Mlaponi.
Meneja Usalama Barabarani na
Mazingira wa SUMATRA, Geoffrey Silanda (kushoto) akizungumza kwenye
mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya
uzinduzi wa huduma mpya ya malipo ya nauli za daladala kielektroniki
ijulikanayo kama ‘Uhuru Pay’ iliyozinduliwa na Kampuni ya Business
Connexion (BCX) leo jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Christiania inayomiliki daladala zinazofanya
safari zake hapa jijini Dar es salaam, Emmanuel Mlaponi na kulia ni
Meneja Masoko na Mauzo BCX, Ebenezer Massawe.
Meneja Masoko na Mauzo wa Business
Connexion (BCX) Tanzania, Ebenezer Massawe (katikati) akiwaonyesha
waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi ya kulipa nauli kielektroniki
kupitia huduma mpya iliyozinduliwa na Kampuni hiyo ya ‘Uhuru Pay’
wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo iliyofanyika leo jijiji Dar
es salaam. Toka kushoto ni Afisa wa BCX Justin Lawena, Mkurugenzi
Mtendaji wa wa BCX Seronga Wangwe, Meneja Usalama Barabarani na
Mazingira wa SUMATRA, Geoffrey Silanda na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
ya Christiania inayomiliki daladala zinazofanya safari zake hapa jijini
Dar es salaam, Emmanuel Mlaponi.
Meneja Masoko na Mauzo wa Business
Connexion (BCX) Tanzania, Ebenezer Massawe (katikati) akiwaonyesha
waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi ya kulipa nauli kielektroniki
kupitia huduma mpya iliyozinduliwa na Kampuni hiyo ya ‘Uhuru Pay’
wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo iliyofanyika leo jijiji Dar
es salaam. Toka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa BCX Tanzania, Seronga
Wangwe, Meneja Usalama Barabarani na Mazingira wa SUMATRA, Geoffrey
Silanda na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Christiania inayomiliki
daladala zinazofanya safari zake hapa jijini Dar es salaam, Emmanuel
Mlaponi.
Mkurugenzi Mtendaji wa wa Business
Connexion (BCX) Tanzania, Seronga Wangwe (katikati) akimshukuru
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Christiania inayomiliki daladala
zinazofanya safari zake kati ya Tegeta Nyuki na Kivukoni hapa jijini Dar
es salaam, Emmanuel Mlaponi kwa kukubali kutumia huduma mpya ya ‘Uhuru
Pay’ kwa ajili ya malipo ya nauli kielektroniki wakati wa hafla ya
uzinduzi wa huduma hiyo leo jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia toka
kushoto ni Afisa wa BCX, Justin Lawena, Meneja Masoko na Mauzo wa
Business Connexion (BCX), Ebenezer Massawe na Meneja Usalama Barabarani
na Mazingira wa SUMATRA, Geoffrey Silanda
Mkurugenzi Mtendaji wa wa Business
Connexion (BCX) Tanzania, Seronga Wangwe (kushoto) akimshukuru
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Christiania inayomiliki daladala
zinazofanya safari zake hapa jijini Dar es salaam, Emmanuel Mlaponi kwa
kukubali kutumia huduma mpya ya ‘Uhuru Pay’ kwa ajili ya malipo ya nauli
kielektroniki wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo leo jijini Dar
es salaam. Anayeshuhudia kushoto ni Meneja Usalama Barabarani na
Mazingira wa SUMATRA, Geoffrey Silanda.
No comments :
Post a Comment