Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem
Al-Najem akimkabidhi vitabu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin
Nyoni (kulia) na kukutana na baadhi ya viongozi na wahadhiri wa Chuo
hicho. kushoto ni Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa,
Albino Tenge.
Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem katika picha y pamoja
akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin
Nyoni (wa nne kushoto)
Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi kitabu Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge kushoto na kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni
Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akielekeza jambo mara baada ya kukabidhi vitabu kwa uongozi wa Chuo hicho
Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Chuo Kikuu
cha UDOM






No comments :
Post a Comment