Mshindi wa millioni 110 Bwn. Mbwilo akiwa na washkaji zake wawili Juma
Athuman na Joseph Haule Walio zawadia milioni moja moja na Tatu Mzuka
kwenye promotion ya “Cheza na Washkaji na Shinda na Washkaji”.
Athuman na Joseph Haule Walio zawadia milioni moja moja na Tatu Mzuka
kwenye promotion ya “Cheza na Washkaji na Shinda na Washkaji”.
Bwana Mbwilo akisherekea ushindi wake na Mke wake Nyumbani kwao Keko.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva ( Kushoto) akimkabidhi Mfano wa
hundi ya sh Milioni 110 Ofisa ya Jeshi la Magereza Neuro Mbwilo, ambaye
ni mshindi wa bahati nasibu ya Mzuka jackpot, Dar es Salaam.Afisa Magereza Bwana Neuro Mbwilo amejishindia dau kubwa kuwahi kutolewa na Tatu Mzuka la shilingi milioni ...110 kupitia Mzuka jackpot iliyoonyeshwa kupitia vituo mbalimbali vya runinga nchi nzima siku ya Jumapili ya Tarehe 29 Nov 2017.
Ingawa
maisha yake yamebadilishwa milele, Afisa Mbwilo anapanga kuendelea
kufanya kazi yake, akisisitiza kwamba ni mshahara wake ndio uliompa
nafasi ya kucheza na kushinda.
hundi ya sh Milioni 110 Ofisa ya Jeshi la Magereza Neuro Mbwilo, ambaye
ni mshindi wa bahati nasibu ya Mzuka jackpot, Dar es Salaam.Afisa Magereza Bwana Neuro Mbwilo amejishindia dau kubwa kuwahi kutolewa na Tatu Mzuka la shilingi milioni ...110 kupitia Mzuka jackpot iliyoonyeshwa kupitia vituo mbalimbali vya runinga nchi nzima siku ya Jumapili ya Tarehe 29 Nov 2017.
Kama
ma milioni ya wachezaji wengine nchini Tanzania, Mbwilo alidhani
ilikuwa ni fursa nzuri kutumia Shilingi 500 kubadilisha maisha yake
pamoja na familia milele.
Bwana Mbwilo, ambaye ni Askari gereza wilayani Temeke alielezea mshtuko wake juu ya bahati iyo iliyomtembelea. “Ni
hisia ambayo haielezeki kabisa. Nina furaha kubwa sana, nimejawa na
shukrani nyingi,na kwangu hii ni ajabu kabisa “, alielezea mbele ya
vyombo vya habari.
Katika
kutoa hundi ya ushindi huo wa milioni 110 Bwana Sebastian Maganga,
Meneja wa Mawasiliano wa Tatu Mzuka alielezea zaidi juu ya ushindi huo
mkubwa lakini aliwakumbusha Watanzania kwamba kuna njia nyingi za
kushinda kupitia Tatu Mzuka. Alifafanua kuwa katika wiki 13 tu Tatu
Mzuka imetengeneza zaidi ya washindi milioni 2 na kutoa billion 4 kwa
washindi.
Watanzania
wanachokipenda kuhusu Tatu Mzuka sio mzuka jackpot tu ya kila wiki
lakini pia ukweli kwamba kila ukicheza inakupa nafasi ya kushinda hadi
milioni sita kila saa” alisema Maganga
“Mambo
yanavutia zaidi mwezi huu ambapo unaweza kushinda kila saa, kuingia
kwenye droo ya ‘Jackpot’ ya Jumapili ambayo dau lake ni Milioni 60 wiki
hii , na zaidi ya hapo ukicheza unapata nafasi ya bure ya kuingia kwenye
droo kubwa yenye dau la kuvunja rekodi la Tshs 150million ya Supa Mzuka
Jackpot itakayofanyika Novemba 19 mwaka huu “.
Mkuu
wa wilaya ya Temeke, Bwana Felix Lyaniva ambaye alihudhuria mkutano wa
waandishi wa habari katika ofisi yake leo alizungumzia kuhusu matokeo
chaya ya ushindi huo kwenye wilaya yake.
“Afisa
Mbwilo, sasa umekuwa balozi wa Tatu Mzuka katika Wilaya yangu.
Natumaini utatumia fursa hii kubadili maisha ya watu wengine kama
ambavyo Tatu Mzuka imebadilisha yako kwa kutumia vizuri mamilioni
uliyojishindia. ” alisema Mheshimiwa Lyaniya.

No comments :
Post a Comment