Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia)
akisalimiana na mchezaji kutoka timu ya Bukinafaso ya Morogoro kabla ya mechi
kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya Mkoani Morogoro
Wachezaji
wa timu ya Ihefu kutoka Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza
mechi kati ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili
kushoto) akifuatilia mechi kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya
Mbeya jana Mkoani Morogoro.(PICHA NA
GENOFEVA MATEMU – WHUSM)
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili
kulia) akipokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro
Mhe. Paschal Kihanga alipowasili katika uwanja wa mpira wa miguu wa Morogoro
kuangalia mechi ya Ligi daraja ya pili kati ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu
ya Mbeya jana Mkoani Morogoro
No comments :
Post a Comment