Pages
Tuesday, October 24, 2017
RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA AFYA IKULU MJINI UNGUJA
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika kikao cha
siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza
Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja.23/10 /2017.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika kikao cha
Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-
Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,(kushoto) Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi
Baadhi ya
Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Afya wakiwa katika
kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo
ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Mkurugenzi
Mkuu wa Wizara ya Afya Dk.Jamala Adam Taib (wa pili kulia) alipokuwa
akisisitiza jambo wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa
Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya
Maafisa wa Idara mbali mbali katika ya Wizara ya Afya wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) alipokuwa akifungua kikao cha siku moja cha
Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-
Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
[Picha na Ikulu.] 23/10 /2017.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment