Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa
wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter
Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka
China Sun Long wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao
iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili
inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo
katika Taasisi hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa
wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter
Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto
kutoka China Qu Xianfeng wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao
iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili
inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo
katika Taasisi hiyo.
Madaktari
bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka China wakiwa katika picha ya pamoja
na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari
Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Peter Kisenge mara baada ya kuwakabidhi zawadi wakati wa hafla fupi ya
kuwaaga iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya
miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya
Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa
wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter
Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa chumba cha wagonjwa walioko
katika uangalizi maalum (ICU) kutoka China Xie Weifeng wakati wa hafla
fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya
China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya
kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.
Wafanyakazi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Daktari Bingwa
wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka China Qu Xianfeng (hayupo pichani)
wakati akizungumza katika hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao
iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili
inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo
katika Taasisi hiyo.
Picha na JKCI
No comments :
Post a Comment