Thursday, August 3, 2017

TAASISI ZA KIFEDHA ZASHAURIWA KUWA NA MASHARTI NAFUU YA UTOAJI MIKOPO

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akinunua
moja ya mkoba uliotengenezwa na kikundi cha Jauki kwenye banda la Halmashauri
ya Wilaya ya Kilwa mara baada ya kutembelea banda hilo wakati wa
Maonesho ya 24
ya kilimo na sherehe za Nanenane katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya
Manispaa ya Lindi

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akimtazama
mnyama aina ya kakakuona wakati wa
Maonesho ya 24 ya kilimo na sherehe za Nanenane
katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya Manispaa ya Lindi

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Godfrey Zambi akitembelea
mabanda mbalimbali ya wajasiriamali wakati wa
Maonesho ya 24 ya kilimo na sherehe za Nanenane
katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya Manispaa ya Lindi

Baadhi ya Wajasiliamali wakimsubiri Mkuu wa Mkoa wa
Lindi Mhe Godfrey Zambi kutembelea katika banda lao wakati wa
Maonesho ya 24
ya kilimo na sherehe za Nanenane katika Viwanja vya Ngongo nje kidogo ya
Manispaa ya Lindi

No comments :

Post a Comment