Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Lindi
SACAP. Rajab Nyange, wakati alipo tembelea na kukagua ujenzi wa Gereza
la Wilaya Ruangwa, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku nne Mkoani
Lindi, Julai 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi seti ya tv na king’amuzi chake Mkuu wa
Magereza Mkoa wa Lindi SACAP. Rajab Nyange, wakati akikagua ujenzi wa
Gereza la Wilaya Ruangwa, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku nne
Mkoani Lindi, Julai 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Ruangwa Mjini akiwa
kwenye,mkutano wa hadhara aliyo uitisha, akiwa kwenye ziara ya kikazi
ya siku nne Mkoani Lindi, Julai 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Ruangwa Mjini katika
mkutano wa hadhara aliyo uitisha, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku
nne Mkoani Lindi, Julai 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Lindi
SACAP. Rajab Nyange, wakati akikagua ujenzi wa Gereza la Wilaya Ruangwa,
akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku nne Mkoani Lindi, Julai 12, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Ruangwa Mjini akiwa
kwenye,mkutano wa hadhara aliyo uitisha, akiwa kwenye ziara ya kikazi
ya siku nne Mkoani Lindi, Julai 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments :
Post a Comment