VIDEO:TANZANIA NA NCHI YA MSUMBIJI ITAENDELEA KUDUMISHA MAHUSIANO YAO.
Mkuu wa mkoa wa Mtwara HALIMA DENDEGO Kwa kushirikana na mkuu wa
mkoa wa RUVUMA DKT BILINITH MAHENGE wamesema watahakikisha wanaboresha
mahusiano mema kati ya TANZANIA na pamoja na MAJIMBO YA NIASSA,na CABO
DELGADO nchini MSUMBIJI hususani katika kuboresha miundombinu ili
kuweza kutoa fursa wa wananchi katika pande hizo mbili hayo yamesemwa
wakati wa kuitimisha mkutano wa ujirani mwema katika ya majimbo hayo
kutoka MSUMBIJI na mikoa ya ruvvuma na mtwara.
No comments :
Post a Comment