Bw. Henry Bwoga Mkurugenzi wa
Mikopo Benki ya TPB akizungumza na waandishi katika banda la benki hiyo
na kuelezea huduma mbalimbali za kibenki zinazotolewa na TPB kwenye
maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika
viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo
yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara TANTRADE na kufanyika
kila mwaka mwezi Julai.
Mkurugenzi huyo amewakaribisha
wananchi wanaotembelea maonyesho hayo kutembelea Banda la Wizara ya
Fedha na Mipango ambamo TPB wanapatikana watapata maelezo ya huduma
mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo.
B

Bw. Henry Bwoga Mkurugenzi wa
Mikopo Benki ya TPB akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake
wakati alipotembelea katika banda hilo leo.
No comments :
Post a Comment