Thursday, July 13, 2017

TIMU YA CHELSEA YAFANIKIWA KUMNASA KIUNGO TIEMOUE BAKAYOKO

Timu ya Chelsea hatimaye imefikia makubaliano na Monaco kuhusiana na uhamisho wa kiungo mwenye nguvu Tiemoue Bakayoko.

Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Uingereza wamekubali kulipa paundi milioni 40 na nyongeza kiasi kumnasa Bakayoko na atafanyiwa vipimo kesho.

No comments :

Post a Comment