Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali
ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na ujumbe
kutoka JICA. Ujumbe huo umetembelea wagonjwa pamoja na miradi mbalimbali
ya kuboresha huduma za afya katika hospitali hiyo leo.
Wageni kutoka JICA wakiwa katika
ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),
Profesa Lawrence Museru. Kutoka kushoto ni Ofisa wa Hospitali Kuu ya
Shonan Kamakura, Emiko Shiono, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JICA Idara ya
Afrika, Komori Masakatsu, Mwakilishi wa Afrika nchini Japan, Milanga
Mwanatambwe na Meneja wa Tiba, Injinia Katsumasa Shirai.
Ofisa Mipango, Catherine Shirima (kulia) wa JICA na Yamae Mikuni kutoka Japan wakiwa kwenye mkutano huo leo.
Wageni hao pamoja na wenyeji wakiwa katika wodi ya wagonjwa Muhimbili leo.
No comments :
Post a Comment