Mtaalam wa Mikopo ya Nyumba
(Mortigage Specialist) kutoka Benki ya Azania Bi. Liberia Peter
akimpatia zawadi ya (Tyre Cover )kwa mteja wa Benki hiyo Bw. Kombo Noti
aliyetembelea katika banda hilo kwenye maonyesho ya 41 ya TANTRADE
yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar
es salaam.
Wafanyakazi wa TRA wakitoa
maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda Wizara ya Fedha na
Mipango kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayofanyika kwenye Viwanja vya
Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Bw Jummane Nnyamgunda kutoka
Shirika la Bima la Taifa NIC akitoa maelezo kwa Bw. Kombo Kono wakati
alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha.
Bw. Victor Musendo akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi aliyeembelea katika banda la NDC.
No comments :
Post a Comment