Thursday, July 6, 2017

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AKUTANA NA TIMU YA WATAALAMU KUTOKA BENKI YA DUNIA KUJADILI MASUALA YA WAKIMBIZI


unnamed
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza na timu ya wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi Zilizoathirika na kuhifadhi Wakimbizi, waliofika wizarani kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wawizara, jijini Dar esSalaam.
1 2
Kiongozi wa timu ya Wataalamu kutoka Benki ya Dunia wanaosimamia Mpango wa Kuzisaidia Nchi zilizoathirika na Kuhifadhi Wakimbizi, Joanna De-Berry (wa kwanza kulia), akizungumza wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani yaNchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira.Wataaalamu hao walifika wizarani kujadili masuala mbalimbali ya wakimbizi.Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
3
MkurugenziwaIdarayaWakimbizi, Harrison Mseke, akizungumzawakatiwakikaonaKatibuMkuuWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, MejaJeneraliProjestRwegasira,baadayatimuyawataalamukutokaBenkiyaDuniawanaosimamiaMpangowaKuzisaidiaNchiZilizoathirikanakuhifadhiWakimbizikutembeleawizarawakiwanalengo la kujadilimasualambalimbaliyawakimbizi.Kikaohichokimefanyikaleokatikaukumbiwawizara, jijini Dar esSalaam.
4
KatibuMkuuWizarayaMambo yaNdaniyaNchi, MejaJeneraliProjestRwegasira, akiagananaNaibuMwakilishiwaShirika la UmojawaMataifa la KuhudumuiaWakimbizi(UNHCR),Joan Allison baadayatimuyawataalamukutokaBenkiyaDuniawanaosimamiaMpangowaKuzisaidiaNchiZilizoathirikanakuhifadhiWakimbizikumalizakikaokilichojadilimasualambalimbaliyawakimbizi.Kikaohichokimefanyikaleokatikaukumbiwawizara, jijini Dar
5
KatibuMkuuwaWizarayaMambo yaNdaniyaNchi, MejaJeneraliProjestRwegasira(watatukulia) akiwakatikapichayapamojanatimuyawataalamukutokaBenkiyaDuniawanaosimamiaMpangowaKuzisaidiaNchiZilizoathirikanakuhifadhiWakimbizi, waliofikawizaranikujadilimasualambalimbaliyawakimbizi.Kikaohichokimefanyikaleokatikaukumbiwawizara, jijini Dar esSalaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments :

Post a Comment