Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Kituo cha Kutoa Huduma kwa
Waathirika wa Dawa za Kulevya mjini Dodoma Juni 29, 2017. Kushoto ni
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na
kulia ni Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya,
Rogers Sianga. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wasanii wa
Kikundi cha Mchoyi cha Dodoma wakicheza ngoma ya kabila la Wagogo
katika
Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za ulevya Duniani
kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Balozi wa
Uingereza Nchini, Sarah Cooke akizungumza katika Maadhimisho
ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye uwanja wa
Nyerere mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,
Jenista Mhagama akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
kuhutubia katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa
za Kulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya
Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni
29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya
wananchi na Viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipohutubia katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za
Kulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment